Nchi yetu ina fursa nyingi za kuwekeza,nyingine ni rahisi na nyingine ngumu kidogo kwa sababu ya kutojua. Kuna biashara hii ya beach plots, kwa sasa inakwenda kimya kimya sana,lakini ni biashara...
General Agro and Livestock enterprise tupo Mbeya, eneo la mbalizi kata ya nsalala. Tunatotolesha vifaranga, bei ya kutotolesha ni Tsh 450/ yai moja. Tunaanza kupokea kuanzia trey moja na...
Hello JF,
Ninatafuta Farm Manager kwa ajili ya usimamizi wa mradi wa shamba ulioko Tabora Kipalapala Matankini.
SIFA: Awe na Elimu ya Form Four na utaalamu ngazi ya cheti katika fani ya Kilimo...
Habari,
Nashukuru nimefika mahala sasa naona matunda ya shamba langu la mifugo...
Nimefanikiwa kufuga kuku,mbuzi,ngo'mbe,kondoo na nguruwe na bata wachache.
Natumia fursa hii kuomba ushauri wenu...
Habari wanaJF, naomben maon yenu kuhusiana na website hii
http://masoko.byethost5.com/index.php
Kiongoze nn au kipunguze nn .
Asanteen, busara itumike kwenye kutoa ushauri tafadhali...
Guys, nikiagiza food processing machine ya million 13 kutoka china, yenye uzito wa kg 250, nitalipia kodi zipi, zenye thamani ya shilingi ngapi ili itoke bandalini?
Pia shipping cost ya machine...
Wandugu herini ya xmas na mwaka mpya. Kama mada inavyojieleza ninauza duka la nguo za watoto lenye thamani ya tsh 5.4m kwa tsh 3.5m. Duka lipo zunguni mtaa wa shabiby na ni duka pekee la watoto...
Kuna upotoshaji wa kutosha katika neno ujasiriamali kwa kuwa watu awajui maana kamili ya neno ujasiriamali imepelekea kushindwa kufikisha ujumbe
neno ujasiriamali ni imani katika biashara kwa...
Habari wadau,
Nauza vifaa vya kupikia na kuuzia chips. Viko complete unaweza kuendelea kutumia.
Majiko mawili (la kuchemshia na la kukaangia/kuchoma mishkaki), aluminium show case (size ya...
Wakuu sii siri kwamba hili jukwaa lilikuwa ni moja ya jukwaa kubwa baada ya jukwaa la siasa, kulikuwa na debeti zilizo enda shule, sasa nauliza wale wadau wako wapi? siwaoni humu tena na je ni...
Habari wadau nina shamba eka 100 Nyanzwa likiwa limepakana kabisa na mto Ruaha. Ninakodisha eka 60 ambazo tayari nilishalima miaka miwili iliyopita. Nakodisha kila eka laki mbili na nusu 250,000...
Ikiwa yamebaki masaa machache sana Hebu kila mtu aweke mpango kazi wake wa Mwakani hapa! ili wale ambao hawajandaa wajifunze toka kwenu.
Iwe ni Mwajiriwa au yeyote yule ni lazma tuwe na vitega...
Wakuu habari za leo ?
Naomba mwenye kujua faida au hasara za maxmalipo anijuze,
Nahitaji kuanzisha biashara ya M- Pesa, Airtel Money, tigo pesa na luku
Je nikitumia maxmalipo naweza pata faida...
Habari #TeamJamiiforums. Nilikua naomba msaada nijue jinsi ya kuwa wakala wa MAXMALIPO. Nataka nijue sifa,vigezo na mashariti ya kuweza kufanya hiyo huduma katika jamii yangu. Pia nijue na kiasi...
Wanabodi
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi zinapaswa kupitiwa ili wanakikundi wawezi kukisajili Kikundi chao na kiweze kutambulika kisheria.
Nipo na wakulima wenzangu kama wa 5 hivi.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.