Mimi ni Mtaalamu wa kilimo

Pascal paul

Member
May 24, 2016
33
8
Natoa ushauri kuhusiana na ukulima wa mazao mbalimbali pia usimamizi wa shamba kuanzia kuandaa shamba kupanda mpaka hatua ya uvunaji pia kuchukua rekodi ya ukuaji wa mazao yako lima kwa faida ukitumia wataalamu wa kilimo.

Ukiniitaji piga simu namba 0652609525
 
Safi sana bwana pascal upo wapi.......? Mimi nipo dodoma na kazi zangu ni huku huku
 
Nipo dar es salaam japo uwanasafiri mikoani kutoka huduma ya ushauli wa kilimo bora muongozo na usimamizi wa mashamba
 
Napenda tutumie mfumo wakuchagua zao moja nalieleze mnauliza maswali tukimaliza tunaanza Jingine hivyo utanipa mm urahisi wakuwasaidia wote kulingana na mahitaji jamani
 
Kaka karibu sana kwenye group ketu la wajasiriamali. Humo wapo watu wenye uhitaji wa wataalam kama wwe.Tupo kwenye mtandao wa telegram na mpaka sasa tupo zaidi ya watu 480. Download telegram kisha ingia link hii Join group chat on Telegram
 
TIKITI MAJI
Kwa dar es salaam kuna aina ambazo zinafanya vizuri ambazo ni Sugar baby,Zebra na F1 pia TIKITI MAJI ukua kwa muda wa miezi mitatu tu mpaka unavuna
MAGONJWA
Magonjwa yanayoweza shambulia tikiti maji ni kama
Early bright (ukungu)
Latebright

DAWA ZA KUZUI
Nikama zifuatazo
Ivory M72WP
Linking 72WP
Masterkinga 72WP
Pamoja na Framer Zeb80WP nikinga ambayo upuliziwa kabla magonjwa yajashambulia matikiti maji

DAWA ZA KUKUZIA (BUSTER )
Hizi uwekwa baada ya wiki 5ukipanda tikiti kwajina ni POLYSEED (NPK)19:19:19 tunaweza ita starter

KUZUIA MAGUGU
Kuanzia wiki tatu baada ya kupanda shambani tunatumia
AGROQUAC
AGROMINE
AGROROUND

KUZUIA WADUDU
Tunatumia dawa hizi
NINJA
SUPERCROWN
AGROCROWN

Tuanzia hapo jamani kuendelea
 
Back
Top Bottom