Wafugaji wa kuku msaada

Wafugaji wa kuku msaada

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,061
Wafugaji wa kuku ninaomba msaada wa haraka kuku wangu wanateketea. Naomba mnisaidie tiba ya ugonjwa wa kwenye picha
 

Attachments

  • 1461952795016.jpg
    1461952795016.jpg
    8.7 KB · Views: 114
kama uko dar peleka mmoja aliekufa pale ubungo kuna daktari atacheki then atakushauri dawa ya kutumia au wapigie 0754223126
 
Back
Top Bottom