Nimeamua kulima, naomba msaada

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wanjamvi habari zenu...
Kutokana na ukakasi wa maisha nimeamua kujiajiri katika kilimo naomba msaada wa kupata eneo zuri la mazao ya nataka ambayo nimewaza kuwa na ya kusambaza nafaka katika mahotel na restaurants kama vile Michele, nahindi kunde,maharagwe na mazao mengi ya chakula. Msaada wa wapi nitapata eneo la kulima kubwa na kwa mafanikio mwenye taarifa naomba anijuze kwa mawasiliano

0625520125
Nakaeibisha ushauri
 
Nitaanza na kukodi kama bei itakuwa rafiki basi nitanunua
 
Nafikia kwa nani mkuu kama unamtu unafahamiana. Nae naomba namba
 
Msaada wa KILIMO katika bonde la mto ruvu mwenye taarifa nitafute pliz nahitaji eneo, na maelekezo Fulani

0625520125
 
Nakushauri bora kununua kama unamalengo ya muda mrefu.
Maana sio ghali kihivyoo
Bora ununue 70% ya ardhi kisha inayobakia ndio ukodi.
Siku hizi watu wamebadilika sana sio wote,ila baadhi wanaroho mbaya sana pale unapopata tu,utasikia anakatisha mkataba mwakani anataka kulima yeye.Na wateja wengi wanafuata mtu mashambani,sasa akichukua yeye ujue pia unapoteza wateja.Sasa ni bora ukodi baadhi ya ukubwa wa eneo na hapo hapo nunua eneo lako mwenyewe
 
Wazo nzuri, ila tafuta mahali ambapo ardhi inakubali mazao na sio bora sehemu tuu. Ifakara, Morogoro, Mbeya ni moja ya sehemu nzuri.
 
Back
Top Bottom