Urbun Food Project ni aina ya mradi ambao unamanufaa kwa wakazi wa mijini.Nivyema tukatumia maeneo madogo tuliyonayo kuzalisha chakula salama na kwa tija pia.Lengo ni kutumia maeneo madogo ya mijini kufanya kilimo biashara.Faida za aina aina hii ya kilimo ni.
1..Unatumia eneo dogo sana ilankupata mazao mengi na bora.
2..Matumizi ya maji ni kidogo kulingana na aina yenyewe ya kilimo.
3..Unapata organic food maana hautumii mbolea ya viwandani udongo unaotumiwa ni trtd kwa kutumia earthworms wanaofanya uwe wenye rutuba na usio na magonjwa.
Ni kilimo cha gharama nafuu na chenye tija kwa mijini.
By Maya.