Ushauri -Kilimo cha Muda Mfupi

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,323
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya kilimo! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums.

Leo nimefarijika sana kuja huku na kukutana na wana JF ambao wana new ideas na bado hamjakuwa corrupted na wanasiasa.

Sasa naomba ushauri kuhusu kilimo cha mazao ya muda mfupi na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo hicho.
Asanteni.
 
Mkuu ni vema unge specify ili kuleta urahisi wa mawazo,Unaweza sema labda kilimo cha mbogamboga,mahindi,mpunga,maharage,mihogo,nafikir hii itakua rahisi watu kukushaur
 
Mkuu ni vema unge specify ili kuleta urahisi wa mawazo,Unaweza sema labda kilimo cha mbogamboga,mahindi,mpunga,maharage,mihogo,nafikir hii itakua rahisi watu kukushaur
Asante mkuu, naomba niwe specific kua ni kilimo cha mbogamboga na nafaka kwa pamoja
 
Kimsingi kilimo cha umwagiliaji ndio kilimo cha uhakika,lakini mi nakushauri,tizama juu kabisa mwa hizi thread,anza na ya kwanza kabisa ingia na usome utapata picha,naamini mazao yote muhimu yaliozungunzwa humu jukwaani yapo,anza na thread ya kwanza kabisa hapo juu title zake zina maandishi ya rangi nyekundu
 
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya kilimo! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums.

Leo nimefarijika sana kuja huku na kukutana na wana JF ambao wana new ideas na bado hamjakuwa corrupted na wanasiasa.

Sasa naomba ushauri kuhusu kilimo cha mazao ya muda mfupi na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo hicho.
Asanteni.
Nakupongeza sana kwa kutoka kwenye Uteja wa Jukwaa la Siasa muda wote,ukilemaa kule hadi akili yako inalala,unakuwa mtu wa kulalamika kila siku.
Humu kuna threads kibao juu ya unachohitaji,muhim wewe search utakuta kila kitu,maana mpaka hapo bado huja specify vizuri,ila uki search utapata mwanga mkubwa watu wamechambua kwa weledi wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom