Msaada kwa anayejua jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama

Mbuna

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
269
71
Ndugu wanajamvi nimekuja kwenu naombeni msaada wa jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama kwani napata shida sana kutoka kwa wauzaji kutokana na bei zao kuwa juu mara kwa mara.
 
mkuu Mbuna, c ww tu ni wengi sana tunaitafuta hiyo knowledge natumaini katika jukwaa hili tutaweza kupeana maarifa ili kuukwepa ulanguzi wa wachuuzi wa vyakula vya kuku.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa kwani nimehangaika siku nyingi sana ila kwa hapa ndani ya jukwaa naamini nitapata mchanganuo
 
Last edited by a moderator:
Katika Utengenezaji wa Chakula cha Kuku ishu sio formula, Formula si kitu kabisa na hata hayi makampuni yanayo tengeneza chakula cha kuku si kwamba wao wanacheza na formula tu, No

Katika Kutengeneza Chakula cha kuku ugumu uko kwenye Kupima DCP Digestive Crude Protein, na hapa ugumu unakuja kwa sababu Mfano unatakiwa kutengeneza Chakula cha Kuku wa Mayai Vifaranga na total CP inatakiw kuwa my be 24 sasa kuipata ndo kazi sana,

Na vile vile tambua kwamba mazao mfano Mahindi yanatofautiana kiwango cha CP unaweza kuta Mahindi yanyo limw Iringa yakawa na CP kubwa kuliko yanayo limwa my be Dodoma na hii ni kutokana na mazingira hy eneo husika mfano swala la Kiangazi,

Na hii ipo vile vile kwa mazao mengine kama SOYA, MTAMA NA KAZALKA, SO ILI UJUE CHAKULA CHAKO KINA KIZI VIWANGO NI LAZIMA KIKAMPIMWE DCP na huwezi tambua DCP wa macho hata siku moja,

Ila kwa aliyeko Arusha anaye tengeneza mweyewe tunaweza wasiliana akanipa sample yake nikaenda nayo NAIVASHA ambako ndo mimi huwa na pelek kwa ajili ya kupima DCP na tena kwa kuku wa Nyama na mayai inahitaji utalaamu wa hali ya juu kabisa make unaweza changanya ukashangaa kuku hawatagi kabisa au kuku hawakui,

HIVYO JITAHIDI SAMPLE YAKO UPELEKE KUPIMA DCP,
 
mhi! Mbona kazi ngumu sana
 
mhi! Mbona kazi ngumu sana

Ya mkuu kazi ni ngum sana, si ishu ya Kitoto, na Formula si tatizo ila tatzo liko kwenye kufikia hiyo DCP na ili utambue kwamba kweli hichochakula kina meet ni lazima kikapimwe maabara na si vinginevyo,

HIVYO WANAO ZANAI WAKIPATA FORMULA NDO WAMEMALIZA KILA KITU WANAJIDANGANYA, UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU KIFIKIE KIWNGO CHA KULISHA KUKU WA NYAMA AU MAYAI NI KAZI NGUMU SANA
 
Mkuu mimi naona hwa wanatisha kwan kwa akili ya kawaida inaonesha ndio wafanya biashara hivyo wanajua ukijua tu imekula kwao.Sasa nikwamba mimi nina mpaka chet nipigie 0717539573 ntakusaidia unajua practical ndo mpango mzima uckate tamaa kwa kusikia tu.
 
poa mkuu, nitakucheck unifundishe mkuu
 
ucjali mm nilikatishwa tamaa eti kutengeneza shampoo lazma upime vitu kibao lakini nilitengeneza ikapendwa hadi Zambia ambao ni walimu wa vitu kama hivyo.
 
Chakul Cha kuku huwezi Linganisha na hizo shampoo zako, na unajisifia kwamba hupimi kuona uwiano wa mchanganiko, sio sifa mkuu, na sema tu waafrica kwenye ishu ya afya hatujali tunataka madhara ya papo kwa papo kama sumu na kazalika,

Chakula Cha kuku hasa, Kuku wa Mayai na Nyama kinahitaji utalaamu sana make ukikosea tu haw kuku wanaweza wasitage mazima au kuku wakadumaa, wafugaj wanafahamu haya,

Ni lazima ujue Chakula chako kina kiwango kiasi gani cha protein? na je hiki kiwango kina faa kwa hawa kuku waao karibia kuanza kutaga?

Na hakuna mtu anaye zuiwa kutengeeza chakula na wala sijasema mtu asitengeneze
 
Sipend malumbano ila naomba ujue kuwa wakati ww unaenda NAIVASHA wenzako wamejikita kwenye tafiti za kusaidia upotevu wa pesa hasa kwa wenye kipato kidogo kwa kutafuta constant fomulae kwa kuzingatia nafaka ipi na ya wap ukichanganya na vitu vingine kwa ratio ipi ambayo hata upime utakuta ipo sawa hii inalenga,kuwasaidia watu wenye uwezo mdogo ili watumie mazingira yao,kwan hii ya kushaur mtu wa Lind nae aende Naivasha tuliona haisaidii kwa mfugaj mdogo ni hayo tu lengo kusaidiana ili kujikwamua kiuchum . Naipenda jf mko juu.
 
Mkuu Utengenezaji wa Chakula cha Kuku ni ishu ya Kisanyansi na si ishu ya Porojo kama unavyo taka kufanya a unaweza tuwekea hapa utafiti wa hao unao sema wamefanya utafiti?

Chakula cha Kuku wa MAYAI NA NYAMA kina hitaji umakini sanakatika kutengenza na si ishu y kitoto, na ukikosea tu ndo utakuta Kuku wanachelewa Kutaga au hawatagi kabisa au kuku wa nyama wana kosa Uzito kabisa

UTENENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI

Kiutalaamu Kuku wa Mayai wanatakiwa chakula chao kiwe na Crude Protein ya 18% ya vijumuisho vyote ulivyo tumia kuteneneza hicho chakula cha kuku

UTENEEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI

1. Kanuni inayo tumika kuteneneza Chakula cha kuku ni Pearson Square method nazani Tunaikumbuka Shule za Msingi tulifundishwa sana

2. Ashumu unataka Kutengeneza chakula cha kuku wa mayai cha kilo 70

3. Wewe mfuaji ni lazima uchukue mazao anayo taka kutumia mfano
- Mahindi ni 8.23 % DCP
- Soya ni 45 % DCP
- Dagaa ni 55 % DCP
- Mashudu ya mahindi ni 7 % DCP
- Sunflower ni 35 % DCP.

Hizi DCP ni za kitaalmu ingawa sasa hapa ndo unaeza kuta Mahindi ya Dodoma na Iringa yakatofautiana au SOYA ya Mbeya na Arusha vikatofautiana, NA HAPA NDO HUWA UGUMU ULIPO

HIVYO UNATAKIWA KUJUMUISHA VIFUATAVYO ILI KUPATA KILO 70

34 kg ya Mahindi
12 kg ya Soya
8 kg ya Dagaa
10 kg ya mashudu
6 kg ya Chokaa au Mifupa

ILI KUHAKIKISHA CHAKULA CHAKO KINA FIKIA VIWANGO VYA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI NI LAZIM UFANYE CALCULATION SASA KWA KUTUMIA PEARSON SQUARE METHOD

Mahindi = 34 kg x 8.23 ÷100 = 2.80 kg
Soya = 12 kg x 45 ÷ 100 = 5.40 kg
Dagaa = 8 kg x 55 ÷ 100 = 4.40 kg
Mashudu = 10 kg x 7 ÷ 100 = 0.70 kg
Lime = 6 kg x 0 ÷ 100 = 0.00 kg
JUMLA YA CRUDE PROTEIN NI KG 13.30

HIVYO ILI KUPATA TOTAL YA CRUDE PROTEIN KWENYE KILO 70 FANYA HIVI

Chukua Jumla ya Crude protein ya vitu ulivyo tumia wakati wa kutengeneza hicho chakula ambayo kwa hpa ni 13.30 gawanya kwa 70 na zidisha mara 100

13.30÷70 x 100 = 19.0 %

Hii inamanisha kwamba Jumlaya Crude protein ni 19.0% ambayo ina faa kabisa kwa chakula cha KUKU WA MAYAI

VITU VINGINE KAMA CHUNVI UNAONGEZA TU ILA HAVIPO KWENYE CALCULATION

MWISHO KWA TULIO KIMBIA HESABU NI VIGUMU MNO KUELEWA

Mimi mwalimu wangu alinambia uctumie elimu yako kutisha watu mfano kuongea lugha ya kigen kwa wasiojua,kuongea kimahesabu kwa asiejua hesabu ila alinonya kuwa nisipo fanya hivyo watu hawatapata shida kuniweka kwenye kund la lisilothamin wenzao wasio soma mfano kuna haja gan ya kuandika protein badala ya protini ili kuwa rahis hata ambae hajaenda shule aelewe zaid au kusema 100% wakati ungesema asilimia mia moja ungekuwa msaada hata kwa asie jua.Ndg zangu kwa ambao mnatimiza ule usemi kwamba mpende jiran yako kama nafsi yako jitahidi unaposema kitu jiulize je yule mtu anaejua Nyerere bado ndo Rais wa Tanzania atanielewa? kwan lengo sio wewe ni nani bali mchango wako uwe msaada kwa wengine.Jaribun kuonesha kuwatambua hata wale wenye elimu ya chin kusema eti WALIOKIMBIA HESABU HUO NI UNYANYAPAA tambua wapo ambao walikosa kufika ulipo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufiwa na wazazi.
 
Mbona hujaleta ripot y utafiti? Tehe tehe, by the way sina muda wa kuendelea kubishana na wewe,hapa ni mwisho
 
Mkuu Utengenezaji wa Chakula cha Kuku ni ishu ya Kisanyansi na si ishu ya Porojo kama unavyo taka kufanya a unaweza tuwekea hapa utafiti wa hao unao sema wamefanya utafiti?

Chakula cha Kuku wa MAYAI NA NYAMA kina hitaji umakini sanakatika kutengenza na si ishu y kitoto, na ukikosea tu ndo utakuta Kuku wanachelewa Kutaga au hawatagi kabisa au kuku wa nyama wana kosa Uzito kabisa

UTENENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI

Kiutalaamu Kuku wa Mayai wanatakiwa chakula chao kiwe na Crude Protein ya 18% ya vijumuisho vyote ulivyo tumia kuteneneza hicho chakula cha kuku

UTENEEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI

1. Kanuni inayo tumika kuteneneza Chakula cha kuku ni Pearson Square method nazani Tunaikumbuka Shule za Msingi tulifundishwa sana

2. Ashumu unataka Kutengeneza chakula cha kuku wa mayai cha kilo 70

3. Wewe mfuaji ni lazima uchukue mazao anayo taka kutumia mfano
- Mahindi ni 8.23 % DCP
- Soya ni 45 % DCP
- Dagaa ni 55 % DCP
- Mashudu ya mahindi ni 7 % DCP
- Sunflower ni 35 % DCP.

Hizi DCP ni za kitaalmu ingawa sasa hapa ndo unaeza kuta Mahindi ya Dodoma na Iringa yakatofautiana au SOYA ya Mbeya na Arusha vikatofautiana, NA HAPA NDO HUWA UGUMU ULIPO

HIVYO UNATAKIWA KUJUMUISHA VIFUATAVYO ILI KUPATA KILO 70

34 kg ya Mahindi
12 kg ya Soya
8 kg ya Dagaa
10 kg ya mashudu
6 kg ya Chokaa au Mifupa

ILI KUHAKIKISHA CHAKULA CHAKO KINA FIKIA VIWANGO VYA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI NI LAZIM UFANYE CALCULATION SASA KWA KUTUMIA PEARSON SQUARE METHOD

Mahindi = 34 kg x 8.23 ÷100 = 2.80 kg
Soya = 12 kg x 45 ÷ 100 = 5.40 kg
Dagaa = 8 kg x 55 ÷ 100 = 4.40 kg
Mashudu = 10 kg x 7 ÷ 100 = 0.70 kg
Lime = 6 kg x 0 ÷ 100 = 0.00 kg
JUMLA YA CRUDE PROTEIN NI KG 13.30

HIVYO ILI KUPATA TOTAL YA CRUDE PROTEIN KWENYE KILO 70 FANYA HIVI

Chukua Jumla ya Crude protein ya vitu ulivyo tumia wakati wa kutengeneza hicho chakula ambayo kwa hpa ni 13.30 gawanya kwa 70 na zidisha mara 100

13.30÷70 x 100 = 19.0 %

Hii inamanisha kwamba Jumlaya Crude protein ni 19.0% ambayo ina faa kabisa kwa chakula cha KUKU WA MAYAI

VITU VINGINE KAMA CHUNVI UNAONGEZA TU ILA HAVIPO KWENYE CALCULATION

MWISHO KWA TULIO KIMBIA HESABU NI VIGUMU MNO KUELEWA

Mkuu kuna watu wengine kwenye chakula cha layers mfano kilo 500 wanakuambie weka DCP kilo 20 (kwa chick mash). Na unakuta hiyo DCP inauzwa dukani. Sasa hiyo DCP ya kununua dukani kazi yake ni nini? Na je lysine na methionine ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom