Manufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao

Manufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,626
Reaction score
1,205
Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa wajasiliamali wote nchini.
Msingi mkubwa wa mafanikio ni ubora wa kazi au bidhaa yako; kujiamini; kumsikiliza mteja na kujitahidi kumridhisha na uaminifu… uaminifu… uaminifu.
Kisha fanya juhudi kubwa katika ya kujitangaza. Na zingatia ubora wa matangazo yako (na yasiwe na maneno meengi yasiyona msingi)
Kumbuka tukimweka Mwenyezimunu mbele, mafanikio yatapatikana kwa wepesi zaidi. Watanzania tutakiane heri.

View attachment 112509View attachment 112510View attachment 112511View attachment 112512

(Mobile/Viber/Whatsapp): +255 688 999006
Email: logoriddim@yahoo.com
blog : http://logoriddims.blogspot.com/
 
hongera sanaa
 
Je, unahitaji logo?-
Unaweza kuona baadhi ya kazi zangu kwa kutembelea blog yangu ifuatayo:

LOGO DESIGNER

Mobile: - - - - - - - - -+255 652 999 009
Office Phone: - - - - -0225506586
(Viber/Whatsapp): +255 688 999006
Email: - - - - - - - -logoriddim@yahoo.com

-
 
Offer ya bure kwa kila kazi moja utakayofanya na mimi ni pamoja na: 1. Proforma Invoice Template 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template.
Bei ya kutengenezewa logo: Tsh. 90,000/-
Contact: (mobile/whatsapp/viber): +255 688 999006
 
Karibu sana Natengeneza Logo kwa Tsh. 90,000/-. Unapata logo pamoja na offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Template 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template. Advance payment ni 30,000/-
 
Ulichofanya umetangaza biashara kinyemela hapa jf,ha ha ha
 
Ulichofanya umetangaza biashara kinyemela hapa jf,ha ha ha

Ni kweli nimetangaza biashara but pia nawazindua wachakarikaji wengine kuwa unaweza kupata pesa na kujikwamua kiuchumi kwa kutangaza bidhaa au huduma zako nje ya nchi. Aidha nilipoanza binafsi sikudhania kuwa Leo naweza kupata wateja hadi Palestina. Nadhani hii ni hatua chanya mkuu tofauti na wengine wanaotumia jukwaa hili adhim kutukana au kuleta fitna au blasphemy. Au sio mkuu?
 
Ulichofanya umetangaza biashara kinyemela hapa jf,ha ha ha
Mwanzilishi mwenyewe ya forum hii ametushauri tutangaze biashara zetu kupitia humu! kwa sisi tulioona fursa tayari LOGORIDDIM ameshafanya mambo na logo zake ninzuri sana. Hivyo yoyote anayehitaji huduma ya logo ebu wasiliana na LOGORIDDIM.
 
Nashukuru mwaka Wa pili sasa wale wote waliofanya kazi na mimi wameridhia huduma zangu kwa asilimia 100. Asanteni nyote
 
Aidha kutokana na maombi ya baadhi ya wasanii chipukizi, ninatoa ushauri wakitaalam bure kwa designer yoyote Wa logo nchini. Karibuni
 
Offer bado itaendelea ktk kipindi chote cha February. Karibuni sana
 
Mwanzilishi mwenyewe ya forum hii ametushauri tutangaze biashara zetu kupitia humu! kwa sisi tulioona fursa tayari LOGORIDDIM ameshafanya mambo na logo zake ninzuri sana. Hivyo yoyote anayehitaji huduma ya logo ebu wasiliana na LOGORIDDIM.
Asante sana kwa shavu na kwa kufafanua vizuri. Hizi ni fursa tulizokirimiwa na Jf. Tunufaike nazo watanzania wote
 
Je, unaamini kupitia mtandao unaweza kupata mafanikio kutokana na bidhaa/huduma unazotoa?
 
Hongera.Lakini kuna njia nyingi za kutafuta masoko.Sisi ni wataalamu wa kutafutia masoko watu na kampuni mbalimbali masoko ya bidhaa na huduma zao. Kwa maana kuzalisha bidhaa ni hatua moja na kuuza au kupata masoko ni hatua nyingine. Kama yeyote anahitaji wataalamu wa masoko wasiliana nasi simu:+255 756 514 644/715 514 644/689 417 472 or apronius2000@yahoo.co.uk
 
@Mr 11. Asante. In shaa Allah Ntakutafuta mkuu
 
Tunufaike na fursa hizi za utandawazi ili tujiletee maendeleo binafsi na kwa taifa letu
 
Karibuni sana Natengeneza Logo kwa Tsh. 90,000/-. Unapata logo pamoja na offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Template 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template. Advance payment ni 20,000/-. Satisfaction guaranteed.
 
Back
Top Bottom