Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Bei ya vitunguu soko la ilala imepanda kutoka shilingi 60,000 miezi miwili iliyopita hadi 105,000 kwa gunia la kilo 100 kipindi hiki kutokana na kuadimika kwa vitunguu msimu huu
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Kwa Wanajavi na wadau wakilimo. Natafuta mshiriki katika kilimo ambaye tunaweza unganisha nguvu na kufanya kazi pamoja. Nashamba ukubwa wa ekari 60 lipo dodoma nacho hitaji ni mtu wakushirikiana...
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Naomba wakazi wa kahama mnijuze yafuatayo, 1) Ni maeneo yapi kilimo cha mboga mboga kinafanyika au yanafaa wilayani Kahama 2) Ni vipi vyanzo vya upatikanaji wa maji katika maeneo hayo, je...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar jf Nahitaji kulima zao la pilipili mbuzi, lakini tatizo langu sina elimu ya kutosha kuhusiana na ulimaji pamoja na soko lake Naomba yeyote mwenye ufahamu japo kidogo anijuze. NAWASILISHA
0 Reactions
49 Replies
27K Views
Habari watalam wa kilimo na ufugaji, Kuna kupindi nilisikia kuwa kuna trecta hapa nchini linauwezo wa kulima matuta.. je nikweli? Nahitaji kwa ajili ya kukodi kama lipo, mm nipo mkuranga..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Modes naomba hii thread msiunganishe na nyingine nataka kujifunza kitu. kama mnavyojua wakuu kwa sasa ajira zimekuwa ngumu na hata ukipata hiyo ajira utaishia kupewa laki tano...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Je serikali imejipangaje kumuinua huyu mkulima wa tangu 1961 analima mpaka leo lakini hana maendeleo! Nadhani sasa tufike mahali tuweke siasa pembeni tuache sayansi ifanye kazi! serikali inabidi...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
jamani huko wenzetu vipi,maana kwa hali ilivyo shinyanga mwaka huu ni hatare mvua inajaribu kidogo tu inasepa, kwa kweli wakulima full kuchanganyikiwa hatujaslima kabisaaa mpaka saivi. na magu...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Juzi juzi walikuwa na dalili za cocodiosis wamepona lakini tangu jana wanaanguka hovyo na kufa sijajua sababu ninini na wana chanjo ya magonjwa yote unaamka asubuhi unakuta tayari wameshakufa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wandugu, mimi ni mjasiriamali niliejiajiri kwa biashara ya chokaa, hapa Tanga tunaitengeneza locally (ambayo ndio inahitajiwa zaidi) na baada ya hapo tunawauzia watu wa hapa hapa tanga wenye...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mwana Jf. Nina vifaranga wa wiki tank sasa, wamepatiwa chanjo Tatu mpaka sasa, chakula na Maji wanapewa cha kutosha na joto lipo lauhakika. Kinachonishangaza ni vifaranga kuzubaa ghafura na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kila nikifungua kilimo,ufugaji na uvuvi kila kitu naambiwa ni dili yaani full faida,sasa nifanye kipi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajamvi. ..tulimskia mkuu akisivu na akitamba juu ya kupanda kwa bei ya korosho kwa mwaka huu...huko mikoa ya mtwara na lindi kwa ujumla . hivyo tumpongeze kwa hilo lkn nimesitushwa na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari humu jamvini, kwa yule mwenye uzoefu na hii biashara tafadhali naomba anielekeze inafanyikaje kuanzia mwenye chombo mashine mpaka mgawo wa kinachopatikana tafadhali jamvini humu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka huu ninataka kulima alizeti ila xjawhi kulima naomba mnisaidie nn mahitaji ya kilimo hiki na matokeo yake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, waheshimiwa naomba msaada kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro natarajia kuhamia mkoani humo kwenye mwezi wa 5. Naomba kujua mazao yanayolimwa katika mkoa huo pamoja na upatikanaji wa...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Katika pitapita zangu, nimekutana na jamaa anauza miche ya mwa40 inayotoa mbao. Yeye alinieleza kuwa mbegu hiyo ni tafofauti na ile ya mwa40 tuliozoea kwa maana kwamba mti wake unakua kwa kunyooka...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Naomba msaada Wandugu, Jogoo wa Chotara anaweza kuhudumia mitetea wangapi?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wanaBodi Naomba contacts za mtaalam wa Mifugo Aliyeko Kibaha. Aina ya mfugo ni Nguruwe. Naomba mwenye contact ani PM au aweke contact hapa. Asante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nimepotea sana ila tupo pamoja. Naomba mnijuze kuhusu wale kuku wanonoo wakubwaa nawaona mtaani,anaweza kuwa na kg 6 au 7,kubwaa,nikauliza wakasema wanaitwa Amadol.(Hili jina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom