Ushauri: Naweza kulima nini kwa sasa?

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Wataalam wa kilimo na masoko hodi himu ndani, nauliza jaman na kuomba ushauri pia kwa sasa kuanzia mwezi huu wa Kwanza naweza kulima zao gani? Hususan kwa kumwagilia? Naomba mchango wa mawazo nikipata na sehem nitafurahi
Karibuni wazoefu
 
Back
Top Bottom