Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kama hauna kazi nenda shamba ukalime,umemaliza degree yako usisubirie ajira nenda kalime inalipa sana. Watu wameitikia mwaliko kwa moyo wote,sasa bei zinavoporomoka kwa kasi mpaka tunabaki...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu natafuta ng'ombe kama hawa kwa ajili ya mradi wangu wa ufugaji, ila sijui naweza kuwapata wapi Tanzania.
1 Reactions
28 Replies
16K Views
Habari zenu wadau, Mm ni muhitimu wa chuo kikuu nimesomea masoko baada ya kutembea Sana na bahasha bila mafanikio nimeamua sasa mwaka huu niijigize kwenye kilimo ili kupunguza ukali wa maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ninaomba ushaur. Baada ya kusoma sana humu jf kuhusu ufugaji wa kuku faida na changamoto zake. Nikaamua nianze kukufuga Kuku chotara.kwa sasa Nina tetea 60 na majogo 10 wanao panda ambao...
0 Reactions
55 Replies
14K Views
Wadau, nina mipapai kadhaa ya kisasa, lakini ikitoa maua yanaanguka yote, na hakuna mapapai yanayoshika. Picha inaonyesha hapo chini. Je? Tatizo ni nini ? Msaada wadau..
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wadau natumai mu wazima, Nimekaa na kuwaza sana, nimeona niwashirikishe ili tuweze kujadiliana au kuona ni namna gani naweza kupata mtu wa kushirikiana nae. Babu yangu anaeishi Arusha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nataka kununua basi aina ya coaster au DCM iwe kama daladala hapa Dar, naomba anayejua bei ya DCM au coaster ambayo ni used anifahamishe wakuu, mimi nina million 20 je, naweza...
0 Reactions
54 Replies
28K Views
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu Vijana,Sera kazi na walemavu ndg Antony Mavunde leo ametembelea shughuli mbalimbali za kilimo cha Green house zinazofanywa na vikundi vya vijana mkoani Morogoro...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF nimeleta huu uzi kuwa wilaya yetu ya Hanang ina takribani eka 63000 ambazo ni mali ya serikali kuu. Haya mashamba yapo kwa wawekezaji mbalimbali ambavyo inasemekana...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wataalam wa kilimo na masoko hodi himu ndani, nauliza jaman na kuomba ushauri pia kwa sasa kuanzia mwezi huu wa Kwanza naweza kulima zao gani? Hususan kwa kumwagilia? Naomba mchango wa mawazo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar za kaz wapendwa Nina vifaranga vya broiler vina karibia wiki 2 tatzo haviongezeki kwa kasi sijui nimekosea wap? Tisaidiane wenye uzoefu... Booster ipi nzur utawaamsha au nifanye nn? Thanks
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Naomba kujua kuku wa kisasa wa mayai wanakua kwa mda gani mpaka kuanza kutaga,na je vifaranga vinauzwa bei gani.
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Wadau salaam, Kumekuwa na maneno kama uvumi kwamba moshi kuna mahindi mapya kutona mashambani yanavunwa muda huu, Naomba kuthibitishiwa hili na watu wa huko kwani mimi moshi siifahamu kabisa hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuku wapo Mia wanataga mayai matano kwa siku pia wanakula vizuri ni kukuchotara wamechoma chanjo zote wamekatwa midomo hawafii ni wazima
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kilimo cha kutegemea mvua hakifai kokote duniani.Angalia nchi kama Misri, Israeli, Ethiopia na Sudan ambazo zinakumbwa na ujangwa uliopitiliza, wanalima mno kisasa kwa umwagiliaji toka mto Nile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Miti aina ya paina imefikisha kuchana mbao ipo njombe ninaiuza Namba angu 0763773826
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[emoji40] [emoji40]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Napenda kufahamu ni vipi wakulima wa kahawa wanavyofaidika na ukulima wao, katiika mikoa inayotoa hii kahawa na zipi challenge zao kubwa. Pia,napenda kufahamu wapi zabibu inatoka vizuri na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanafamilia ya Jamii Forum na heri ya mwaka mpya pia, Wakuu,kipato hakikidhi mahitaji ya muhimu na msingi hasa kwa kutegemea mshahara.Hivyo nimeona naweza nikageukia kilimo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habarini za majukumu,samahani ningeomba kujuzwa kama honey king wananunua asali kwa wauzaji wadogo na kama ndio wananunua kwa bei gani?na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao anisaidie maana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom