Labda kama technologia ya kuzalisha maziwa imebadilika, ng'ombe jike hutoa maziwa anapozaa na huendelea kufanya hivyo na kukauka kutoa maziwa ili ajiandae kuzaa atoe maziwa tena.Mimi natafuta ng'ombe kama hao wanaotoa maziwa kila siku, sio hadi wazae.
Mkuu kuna ng'ombe wanaotoa maziwa daily. Wadau watakuja kusema hapa.Labda kama technologia ya kuzalisha maziwa imebadilika, ng'ombe jike hutoa maziwa anapozaa na huendelea kufanya hivyo na kukauka kutoa maziwa ili ajiandae kuzaa atoe maziwa tena.
Mkuu hakuna inachukua hadi miezi 8-9 halafu hukaushwa ili wawe katika hali nzuri wazaapo watoe maziwa ya kutosha kwa ndama na biashara. Ndio maana watalaam hulenga ndama mmoja kwa mwaka ili biashara iwe na tija.Mkuu kuna ng'ombe wanaotoa maziwa daily. Wadau watakuja kusema hapa.
Wapo mkuu usibishe.Mkuu hakuna inachukua hadi miezi 8-9 halafu hukaushwa ili wawe katika hali nzuri wazaapo watoe maziwa ya kutosha kwa ndama na biashara. Ndio maana watalaam hulenga ndama mmoja kwa mwaka ili biashara iwe na tija.
Basi mkuu nipe reference nami nijifunze zaidi. Sina nia ya kubisha.Wapo mkuu usibishe.