Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Anayeuza Kuku Chotara , siyo vifaranga. mbeya
1 Reactions
1 Replies
5K Views
hello, wandungu na wana jf wenzangu, nina shamba la hekari 20 mkoa wa kilimanjaro ,wilaya ya moshi vijijini kata ya kahe, karibu na shamba la miwa la TPC (walima miwa ya sukari). hivo nataka mtu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ni hivi kuna samaki wanaitwa NGURUKA nahitaji kujua hawa samaki ni aina gani na wanapatikana ziwa, mto au bwawa gani hapa Tanzania.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari za mida ndugu zangu nilikiwa naomba mchanganuo wa tikiti maji kianzia mbegu nzuri ya Arashani FI-kutoka syngenta na duka gan la pembejeo zinauzaje izo mbegu vile vile kwa ecar 1 km tikit...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau wenye uelewa tafadhari naomba kujua bei ya eggs incubator na jinsi ya kuitumia.Nahitaji kuanza ufugaji kuku.Mashine iwe na uwezo wa kutotolesha Mayai 50-100 .Picha ni muhimu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi... Natafuta soko la zao la choroko, nipo Manispaa ya Morogoro. Choroko hizi ni za mwaka huu na ni zile za punje nene,zipo tani 6. Kwa yeyote atakaekuwa interested au ataka eweza...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya wajasiliamali
1.Soda ash
2.Caustic soda
3.Sodium hypochlorite(jik)
4.rose perfume, lavanda, jasmin, lemon
5.Grycelin
6.Acetic acid
7.Acetone<br...
1 Reactions
0 Replies
812 Views
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI Karibuni; Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. Kutengeneza na kuuza tofali Ufundi, Website...
18 Reactions
80 Replies
43K Views
Habari wanajamii, Kwa mda mrefu nimekuwa nikilifuatilia kwa undani jukwaa hili juu ya hoja na ushauri mbalimbali kuhusu kilimo. Ni jukwaa ambalo limenijenga na kunifumbua macho juu ya opportunity...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Hapa kazi tu. Siangalii aina ya kazi, ninachoangalia ni uhalali wa kazi. Kazi yoyote halali nitaifanya ilimradi tu wajibu wangu kama Baba kwa wanangu, kwa mke wangu na wategemezi wangu nautimiza...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wadau nawatafuta sungura aina ya chinchila,mwenye nao please ani pm.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wadau!Nilikuwa naomba msaada kwa wazoefu wa kilimo maeneo ya Mlandizi. Nina shamba la ekari 8 mlandizi ni km 3 kutoka barabara kuu ambalo bado sijalifanyia project yoyote, Bt kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza mpunga anaehitaji, zipo zaidi ya tani 2 Pia ninajihusisha na kilimo cha viazi mviringo vya njombe ambavyo havina mabonde unaweza kupata zaidi ya gunia 100 Contact me ; 0676 885 042 Email...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wapendwa, habari zenu? Poleni sana kwa majukumu. Naomba kusaidiwa, soko la matango kwa mwezi wa December nitafanikiwa? Nimepata shamba tayari na najua gharama zake si kubwa kiasi hcho, naombeni...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wana Ndugu, nimeanza ufugaji wa Batamzinga kama hobi lakini with time naona naanza kufikiria zaidi kibiashara. Lakini of recent bata wangu mmoja amepata huu ugonjwa wa uvimbe mdomoni...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Mimi naishi Dar es salaam, Ninaomba ushauri ni wapi naweza kupata ng'ombe bora wa maziwa , ng'ombe watakao weza kuendana na hali ya hewa ya Dar,wawe wenye sifa ya kutoa maziwa mengi na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba kujua gharama ya kilimo cha tikiti maji na maeneo mazuri inapolimwa
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama tittle inavyoeleza hapo ndugu hakuna wajuzi wa faida na hasara za uvuvi na ni uvuvi gani wenye tija wajuzi wa haya mambo tafadhali
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu, Nimefuga kuku wa MALAWI wapo 300 ila wanakula isivyo kawaida na ndio kwanza wana miezi 4 kabla ya kufikia kutaga .nimefuga aina tatu ya kuku ikiwemo sasso na aina fulani ya...
6 Reactions
78 Replies
17K Views
Kilimo Chetu. Natumaini wote ni wazima, Jipatie Drip Irrigation System kwa bei nafuu kabisa 0688 105 073 Usinitumie ujumbe inbox ya JF
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom