Kuku wangu hawatagi mayai nifanyeje?

Dec 27, 2016
5
1
Kuku wapo Mia wanataga mayai matano kwa siku pia wanakula vizuri ni kukuchotara wamechoma chanjo zote wamekatwa midomo hawafii ni wazima
 
Wape buster,au,,kamata wawili peleka kwa katunzi waombewe uwarudishe uje utupe mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom