Soko la kahawa, zabibu ndani na nje

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
Wadau,

Napenda kufahamu ni vipi wakulima wa kahawa wanavyofaidika na ukulima wao, katiika mikoa inayotoa hii kahawa na zipi challenge zao kubwa.
Pia,napenda kufahamu wapi zabibu inatoka vizuri na je,wakulima wanaifaidika? naamaanisha wakulima wa kawaida.

Nathani nitapata mwongozo na elimu juu ya haya mazao.

ahsanteni.
 
Mkuu salama,nipo Dodoma namiwka kama 3 nafanya biashara ya zabibu...ZABIBU inapatikana sana Dodoma tena kwa misimu miwili!!!
Kama anahitaji mzigo wa ZABIBU,tuzungumze!
 
Back
Top Bottom