christopher mkwama
Member
- Aug 16, 2015
- 14
- 2
Wadau ninaomba ushaur. Baada ya kusoma sana humu jf kuhusu ufugaji wa kuku faida na changamoto zake. Nikaamua nianze kukufuga Kuku chotara.kwa sasa Nina tetea 60 na majogo 10 wanao panda ambao nilitegemea waanze kutaga mwez 11/2016 lakin mbaka sasa wanatetea tu hawatagi. Naomba ushaur nifanye nn?