Msaada kilimo cha Giligiliani ( kiungo)

kevoo 27

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
407
383
Habari zenu wadau,

Mm ni muhitimu wa chuo kikuu nimesomea masoko baada ya kutembea Sana na bahasha bila mafanikio nimeamua sasa mwaka huu niijigize kwenye kilimo ili kupunguza ukali wa maisha.

Nahitaji kuanzia na kilimo cha giligiliani kutokana na kuwa ni zao linalochukua muda mfupi sana kutoka kupanda mpaka kuvuna.
Na lengo langu litakuwa kuvuna Majani ambayo hutumika kama kiuongo kwenye chakula na hii ni ile giligiliani ndefu.

Kwa yoyote mwenyewe uelewa zaidi juu ya zao hili namkaribisha kwa mawazo yake mm Niko mwanza mjini

Karibu kwa mchango, maoni au ushauri ila Uwe wa kujenga
Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom