Naomba msaada: Mipapai inaangusha maua yote, mapapai hayashiki

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Wadau, nina mipapai kadhaa ya kisasa, lakini ikitoa maua yanaanguka yote, na hakuna mapapai yanayoshika.
Picha inaonyesha hapo chini.
Je? Tatizo ni nini ? Msaada wadau..
upload_2017-1-2_21-35-27.jpeg
 
Angalia kiwango cha maji unachomwagilia kama kinatosha, huhitaji kuongeza kiasi kidogo pamoja nmbolea.
Au kuna dawa inaitwa thunder od, sina uhakika Sana Na jina ila wauzaji wanafahamu

Asante. Maji namwagilia ya kutosha, na mbolea niliweka, mwanzo niliweka mbolea ya ng'ombe, na baadaye nikaweka mbolea ya kuku.
Nitaitafuta hiyo dawa.
Thanks.
 
Back
Top Bottom