Mondoros
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 629
- 472
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu Vijana,Sera kazi na walemavu ndg Antony Mavunde leo ametembelea shughuli mbalimbali za kilimo cha Green house zinazofanywa na vikundi vya vijana mkoani Morogoro.
Pichani akiwa Na Vijana wa ILONGA KILOSA.
Kilimo cha bustani kwa mfumo wa green house ni kilimo kizuri sana kinachosaidia mavuno mazuri na ya uhakika.
Kinaokoa na kuongeza mavuno kwa 70% ukilinganisha na bustani za kawaida.