Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Kilimo cha kutegemea mvua hakifai kokote duniani.Angalia nchi kama Misri, Israeli, Ethiopia na Sudan ambazo zinakumbwa na ujangwa uliopitiliza, wanalima mno kisasa kwa umwagiliaji toka mto Nile.
Tanzania ina eneo lenye rutuba zaidi ya hekari laki 142, Tanzania ina mabonde yenye rutuba, mito, maziwa, bahari na hata huo Mto Nile umeanzia Ziwa Victoria,cha ajabu tunalialia kukosa mvua.
Kwann tusilimi kwa umwagiliaji wananchi wakapata faida.
Kwann tusiwekeze kwenye umwagiliaji kwa kutumia vyanzo kukuki vya maji vilivyopo??
Yaani m kwikwi.