Ufugaji na uzalishaji

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Habarini wadau natumai mu wazima,

Nimekaa na kuwaza sana, nimeona niwashirikishe ili tuweze kujadiliana au kuona ni namna gani naweza kupata mtu wa kushirikiana nae.

Babu yangu anaeishi Arusha Monduli anashamba kubwa lenye hekari 250 Shamba lipo mazingira tulivu yenye kuvutia na karibu na hifadhi za taifa kwa bahati mbaya kafariki hivyo kakosekana wa kuliendeleza kutokana na hali ya kimaisha ila mimi niliwaza na kuona nilete mada hii kwenu kaka zangu mama zangu baba zangu mnishauri au kunisapoti tuweze kufanya kazi zenye faida katika shamba hilo tuweze kujikwamua kimaisha.

(A) Niliwaza kufanya ufugaji huko kwasababu ni eneo zuri sana na tulivu ambalo unaweza fuga kuku, n'gombe mbuzi nk ambao wanaweza kuongezeka kwa wingi kutokana na mazingira.

(B) Kuna uwezekano wa kuwekeza katika ufyetuaji wa matofali ambayo utaweza kuuza mjini nakuingiza kipato lakini pia kuna uwezekano wa kujenga hotels zakitalii kwani pamezungukwa na hifadhi zaidi ya moja pia kunauwezekano wa kujenga shule za private kutokana ni mazingira tulivu yasio na kelele kabisa.

Ombi langu kwenu ndugu wana JF sisi hatujajaliwa kipato cha pesa kuweza kuwekeza vitu nilivyo vitaja kwauhache kama moja ya maendeleo mbali na kilimo pekee hivyo Familiar tupo tayari kushirikiana na yoyote atakae kubali kuwekeza katika shamba hilo.

Tafadhali wa Tanzania mlio jaliwa uwezo wa kifedha tushirikiane katika hili tuweze kujikwamua au kusaidina kutokomeza umasikini Tanzania.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Habarini wadau Natumai muwazima Nimekaa na kuwaza sanaa Nimeona niwashirikishe ili tuweze kujadiliana Au kuona ninamna gani naweza kupata mtu wakushirikiana nae Babu yangu Anae ishi arusha monduli Anashamba kubwa lenye hekari 250 Shamba lipo mazingira tulivu yenye kuvutia na karibu na hifadhi zataifa kwa bahati mbaya kafariki hivyo kakosekana wa kuliendeleza kutokana na hali yakimaisha Ila mm niliwaza nakuona nilete mada hii kwenu kaka zangu mama zangu baba zangu mnishauri au kunisapoto tuweze kufanya kazi zenye faida ktk shamba I'lo tuweze kujikwamua kimaisha (A) Niliwaza kufanya ufugaji huko kwasababu nieneo zuri sanaa natulivu ambalo unaweza fuga kuku, n'gombe mbuzi nk Ambao wanaweza kuongezeka kwawingi kutokana na mazingira (B) Kunauwezekano wa kuwekeza ktk Ufyetuaji Wa matofali ambayo utaweza kuuza mjini Nakuingiza kipato Laakini pia kunauwezekano wa kujenga hotels zakitalii kwani pamezungukwa na hifadhi zaidi ya moja pia kunauwezekano wa kujenga shule za private kutokana nimazingira tulivu yasio na kelele kabisa Ombi langu kwenu ndugu wana jf sisi hatujajaliwa kipato chapesa kuweza kuwekeza vitu nilivyo vitaja kwauhache kama moja ya maendeleo mbali na kilimo pekee hivyo Familiar tupo tayari kushirikiana na Yoyote atakae kubali kuwekeza ktk shamba ilo Tafadhali wa Tanzania mlio jaliwa uwezo Wakifedha tushirikiane ktk hili tuweze kujikwamua au kusaidina kutokomeza umasikini Tanzania <br /><br />Natanguliza shukraan zazati.
 
Back
Top Bottom