Nataka kufuga kuku wa kienyeji

StanyRosa

Member
Jan 1, 2017
11
23
Eneo langu Kubwa Ila halina fensi
Sasa natamani kufuga kuku 50-100
Naombeni ushauri na gharama za ujenzi wa banda la kuku
 
Unataka ushauri kwenye lipi....
Kuwa specific.....
1.aina ya kuku 2.chakula. 3.soko 4. Ulaji au nini you are too General...
 
Unataka ushauri kwenye lipi....
Kuwa specific.....
1.aina ya kuku 2.chakula. 3.soko 4. Ulaji au nini you are too General...
Mkuu mimi nahitaji hivyo vyote ambavyo umevitaja mkuu maana niko kwenye utafutaji wa mtaji ili nifanye hiki kitu sina uzoefu sana japo walikuwa wanafugwa nyumbani ila sio kibiashara sasa mimi nataka nifanye hiki kitu kibiashara,ahsanteh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom