GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,069
- 1,650
Naomba kujua kuku wa kisasa wa mayai wanakua kwa mda gani mpaka kuanza kutaga,na je vifaranga vinauzwa bei gani.
Huanza kutaga wakiwa na umri wa miezi mnne na kifaranga kimoja wanauza 2300Naomba kujua kuku wa kisasa wa mayai wanakua kwa mda gani mpaka kuanza kutaga,na je vifaranga vinauzwa bei gani.
Huanza kutaga wakiwa na umri wa miezi mnne na kifaranga kimoja wanauza 2300
Kama kuna la zaidi ngoja waje wataalam watakujuza