Wana bodi nianze kwa kutoa pongezi kwa michango mbalimbali ambayo mmekuwa mkiiweka hapa jukwaani. Baada ya kupitia hili jukwaa la kilimo na ufugaji kwa kipindi kirefu nami nilishawishika kujaribu...
habari wandungu
mwaka jana nilipewa shamba kama zawadi ila sasa kiukweli lina mgadi kiasi kwamba sijui zao la kupanda katika shamba hilooo .
kwa mtu mtaalamu naomba ushauri kwa hillo plz. nipande...
Habarini wandugu?
Katika harakati za kujikomboa kiuchumi kupitia ufugaji kisasa nilipata Wazo zuri na kubwa kwangu katika ufugaji wa nguruwe, nlipita kwenye mabenki na taasisi za serikali na...
Ukija kwenye swala la kujiajiri kwa wasomi, walio somea Sheria huenda wakawa wanaongoza, Hawa jamaa can u image kwenye masomo yao yote hawakugusa sijui Kitu inaitwa Entreprenership ila wakimaliza...
Mambo aje wakuu
Naomba kufaham kama kuna madhara kuosha mayai ya kuku na badae umuwekee alalie. Kuna mayai nimeletewa toka shamba bahat mbaya yalikua machafu..na pia niliweka kwenye maji kubaini...
Commitment iliyoonyeshwa na members waliosafiri kutoka Mikoani, hasa Arusha, Same, Dodoma ni ya kipekee, ambayo kwangu naifananisha na commintment ya Thomas Edson, mvumbuzi wa Balbu.
Kwa siku ya...
Habari zenu ndugu zangu? natumai nyote muwazima.
Kama kichwa kinavyojieleza, kuna kampuni nimebahatika kufanya mawasiliano nayo ina uhitaji mkubwa wa mayai.
Zinahitajika tray 2000 kwa siku...
Kichwa cha habari, naendelea kufanya Utafiti kuhusu mahindi madogo ya njao yanayotumika kutengenezea Popcorn. kwa kiasi kikubwa mahindi haya yanatoka nje ya Nchi kwa sasa . mwenye kujua je mahindi...
Wakuu nina shida ya Vifaranga, au bata mzinga pia ndege wengine wafugwao
majumbani lakini si Kuku,Kanga na bata wa kawaida. Wapi naweza kuwapata
na bei zao zikoje?
Mhe Waziri wa kilimo na uvuvi, nakusalimu kutoka morogoro, ifakara, kijiji kinaitwa KIBEREGE, mimi ni mtoa huduma za kukusanya madeni kwa vyama vya ushirika, chini ya Tume ya ushirikanchini mwaka...
Watanzania wenzangu mimi ni kijana mwenye malengo makubwa maishani,umri wangu ni around 20's.Nimehangaika sana kupata mtaji hatimaye nimefanikiwa,nimepata kiasi cha shilingi laki 7.
Nataka niingie...
Jipatie kipato kwa kutengeneza au kuomba space mahali mfano kkoo au hata njee ya duka la mshikaji wako weka ki friji chako uza juice, smoothies na salad kuliko kukka bure add value mazao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.