Napenda kishauri serikali hasa Wizara ya Kilimo kuwa fedha inayotumia kwa ruzuku ya pembejeo ingetumika kufufua mashamba ya uzalishaji mbegu hapa nchini kama Tanseed zamani na kiwanda cha mbolea...
IFAHAMU VSLa(VillageSaving and Loan Association)/VICOBA
- Watu wengi wamekuwawakisikia hili neon na kuna wanao fahamu, VSLa ni Vikundi vya Hisa ambavyo kwajina jingine wanaita VICOBA, hivi ni...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza watumishi wote Wa tume ya maendeleo ya Ushirika nchini,iliyopo chini ya wizara ya kilimo Na uvuvi,kwa jukum kubwa mnalo lifanya la kuhakikisha Ushirika una fufuka...
Wanabody kijana wenu naleta mrejesho leo nimepata rasmi shamba maeneo fulani na sasa naanza kilimo cha matikiti pamoja na Vitunguu ndani ya shamba moja ila nitatenga naomba ushauri katika hili pia...
kufikia sasa kuna idadi kubwa sana ya watu wamejikita katika tasnia ya ufugaji wa samaki. kama mtu,mdau ama mtaalam unakaribishwa kwenye uzi huu uweze kuchangia,kutoa ushauri na kubadilishana...
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na...
Kwa mwenye kuhitaji shamba maeneo ya dakawa ninazo heka15 nauza kwa mwenye nia ya kunua tuwasiliane mojakwamoja 0719508800 na heka moja ni 1m haipungui hakuna dalali hapa unadili na mimi mojakwa moja
Nina rafiki yangu amestaafu utumishi wa Umma. Anataka afanye investment katika kilimo au ufugaji. Ameniomba ushauri kumchagulia awekeze wapi?
Kwa vile jukwaa hili ni la ushauri,naye siyo...
Heshima kwenu Wajasiriakilimo.
Swala la Ujasirimali ni gumu sana, Ujsirimali sio swala la kitoto, unahitajika kujitoa mhanga ki sawa sawa.Wengi wamekuwa wanafanya hivyo na wengine imekuwa ni kazi...
Habarini za mchana jaman, nna mashamba yangu mawili eka 36 sema cjapata uwezo wa kuyalima bado kwa sababu ya kiuchumi, ni wapi nnaeza nkapata mkopo ili niyaendleze?
Habari wana JF,
Kuna mwenye kufahamu Tarehe kamili ya Kongamano la Kilimo litakalofanyika Machi 2017? Ada ya ushiriki na jinsi ya kushiriki? Niliona Prof. Nyange akiwa anafanya mahojiano asubuhi...
Salama wadau. Naomba ushauri kuhusiana na kilimo. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo mwisho wa mwaka huu, ningependa kulima mojawapo ya mazao haya, mahindi, mpunga au maharage. Nomba kujuzwa eneo...
Mwaka huu kama ilivyo miaka kati ya mwaka 2008-2016 kulikuwa na utoaji wa pembejeo za kilimo yenye ruzuku kwa wakulima. Wakulima walengwa huchangia kiasi cha fedha na kiasi kingine kuchangiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.