popo1986
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 1,120
- 372
Wanabody kijana wenu naleta mrejesho leo nimepata rasmi shamba maeneo fulani na sasa naanza kilimo cha matikiti pamoja na Vitunguu ndani ya shamba moja ila nitatenga naomba ushauri katika hili pia na utaratibu namna ya kulima kistadi na mbegu nzuri za Matikiti na Vitunguu..na chochote ambacho chaweza kunisaidia katika kilimo hiki karibuni ili nikifanikiwa au lah..pia nitawaletea mrejesho hapa