Hatar sanaUpo wapi mkuu. Pole sana. Huko Kyela hali ni mbaya nilikuwa huko last week mpunga bado kupandwa wanasubiri mvua kwa kweli ni jua na joto kari utadhani tupo Chad. Yaani hata Tukuyu ambako kwa kawaida ni mvua nyingi hali ni ya jua kari na vumbi.
NIna heka mbili nimelima mang'ula, nilimwaga majuzi. Sitaki hata kuulizia.Baada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
Mtawala akipata hizi habari atakupa kauli ya matumaini.Baada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
tupia basi tupicha tuwili tutatu tumfikishe mheshimiwaBaada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
Wapi huko bossNimetoka bush last week, hali niliowakuta nayo mbuzi wangu, nimehuzunika sana. Mbuzi wanakula hadi karatasi. Huu msimu wa njaa huwa nautumia kununua Mbuzi kwa wafugaji na kuongeza ktk Himaya yangu. Ila this time, nimeishia kuwaangalia tu.
Baada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
Mpwapwa ndg yanguWapi huko boss
Mbuzi hao wanapatikana kwa bei ganiMpwapwa ndg yangu
Katika minada ya vijijini kwa sasa ni elfu 30-40. Na bei inaendelea kushuka.Mbuzi hao wanapatikana kwa bei gani