Wapi nitapata mbegu za karanga?

Wapi nitapata mbegu za karanga?

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,633
Reaction score
5,612
Wakuu,
Kuna anayefahamu wapi nitapata mbegu bora za karanga zinazofaa kwa maeneo ya Pwani?
Tafadhali naomba msaada huo!
shukran!
 
Kama kuna Mtu yuko Mtwara muagizie kwenye kituo cha utafiti cha Naliendele wana mbegu safi sana za karanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom