Naomba taarifa kamili za Kongamano la Kilimo litalofanyika DSM 2017

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
486
166
Habari wana JF,

Kuna mwenye kufahamu Tarehe kamili ya Kongamano la Kilimo litakalofanyika Machi 2017? Ada ya ushiriki na jinsi ya kushiriki? Niliona Prof. Nyange akiwa anafanya mahojiano asubuhi Leo katika kipindi cha ITV Kumekucha. Sikusikia taarifa za ushiriki.

Ahsante
 
Back
Top Bottom