Ipi benki nzuri ya kukopesha wakulima

Giannis Antetokounmpo

Senior Member
Jan 16, 2017
133
63
Habarini za mchana jaman, nna mashamba yangu mawili eka 36 sema cjapata uwezo wa kuyalima bado kwa sababu ya kiuchumi, ni wapi nnaeza nkapata mkopo ili niyaendleze?
 
Kama unazo hati za umiliki Tanzania Investment Bank watakuwa watu muafaka kwako. Ama kama huna hati za umiliki ujicheki una nini unachoweza kukitumia kama dhamana huko TIB itakusaidia
 
Back
Top Bottom