Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 666
Salama wadau. Naomba ushauri kuhusiana na kilimo. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo mwisho wa mwaka huu, ningependa kulima mojawapo ya mazao haya, mahindi, mpunga au maharage. Nomba kujuzwa eneo nzuri la kilimo cha mazao hayo na changamoto zake. Nipo tayari kwenda popote pale Tanzania ambapo panafikika na mazao yanaweza kusafirishika kirahisi. Shukrani zangu kwenu kwani mawazo yenu ni mtaji kwangu