star TMT
Member
- Feb 27, 2017
- 27
- 20
kufikia sasa kuna idadi kubwa sana ya watu wamejikita katika tasnia ya ufugaji wa samaki. kama mtu,mdau ama mtaalam unakaribishwa kwenye uzi huu uweze kuchangia,kutoa ushauri na kubadilishana uzoefu wa kitaalam na ushauri mwingineo katika fani hii.
mnakaribishwa wote kwa pamoja.
mnakaribishwa wote kwa pamoja.