Natafuta taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
68
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.

Natanguliza shukrani zangu.
Roky.
 
Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,455
971

Jaribu ku-check na jamaa wanaitwa AECF (Africa Enterprise Challenge Fund).
Web: [url]www.aecfafrica.org[/URL]
 
Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,455
971
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.

Natanguliza shukrani zangu.
Roky.

Kwa kuongezea hapo, pia kama kuna yeyote anafahamu taasisi zinazotoa "Loan Guarantee" kwa wakulima atuambie.
Hii huwa inafanyika kwa taasisi hizo kudhamini wakulima wanaokopa kwenye mabenki.
Hivyo taasisi hizo ndio zinasimama kama dhamana (Security) ya mkopo, badala ya mkulima mkopaji kuweka hati ya nyumba.
Utaratibu huu unaweza kuwa ni ukombozi kwa wakulima wanaotaka kukopa lakini hawana hati za nyumba.
Wana-JF tujuzane katika swala hili.
Asanteni.
 
bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,059
174
kuna hawa jamaa Private Agricultural Sector Support (PASS)

gonga hapo chini ...

Private agricultural sector support

Kwa haraka haraka hawa PASS watakusaidia lakini mchanganuo wao utajikuta almost 52% ya mkopo inaenda kwao!! Sasa umesaidiwa au umewasaidia??
Untitled.png
 
Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,455
971
Habari zenu wana-JF,
Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara.
Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani.
Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na kufuga samaki. Nikishasimama vizuri nitaongezea kilimo cha mazao mengine kama mboga na matunda kwa ajili ya soko la Dar es Salaam.
Natafuta taasisi zinazotoa mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kilimo, taasisi za hapa Tanzania au za nje.
Nimepitia mabenki mbali mbali kama TIB lakini wana masharti magumu kama vile kuwa na dhamana ya nyumba, pia hawakopeshi mkulima anayeanza (yaani start-up farmer), n.k.
Wana-JF naomba yeyote anayefahamu taasisi zinazotoa mikopo ya kilimo kwa masharti nafuu anijulishe ili niweze kuongezea nguvu juhudi zangu za kujikita kwenye kilimo kikubwa.
Kwa sasa ninaanza kidogo kidogo shughuli hizi za kilimo.

Natanguliza shukrani zangu.
Roky.

Roky kuna jamaa wanaitwa African Agricultural Fund (AAF).
Hebu google uone labda unaweza pata sera zao.
 
Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,455
971
Thanks mkuu, lakini TIB wanasisitiza kuwa na security.
Hapo nimekwama, maana hati ya nyumba sina.

Security ndio kikwazo kwetu sisi kwa wajasiriamali wengi.
Labda kama benki ya kilimo (Tanzania Agricultural Bank) itakuwa na tofauti katika swala hili.
 
Sabayi

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
2,313
980
Security ndio kikwazo kwetu sisi kwa wajasiriamali wengi.
Labda kama benki ya kilimo (Tanzania Agricultural Bank) itakuwa na tofauti katika swala hili.

JK alisema hii benki ingekuwa imeanza kazi hadi December last year sijui imefia wapi au ni kichaka kingine cha EPA
 
Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,455
971
Hawatoi mkopo wanachofanya ni kukuandalia Mchanganuo na kukuombea Mkopo CRDB au TIB na 10% ya Mkopo ni yao na lazima uwe na security vilevile uzushi mtupu

Hapo kwenye blue,
Kama unayo security, si bora uende benki wewe mwenyewe moja kwa moja !!
Utaepuka kuwalipa 10% !!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom