Eka 1 inapandwa kilo ngapi za mahindi?

Eka 1 inapandwa kilo ngapi za mahindi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,625
Reaction score
17,125
Wataalamu kwa kilimo humu jf naomba kujuzwa nitayarishe mbegu ya mahindi (pannar au pioneer) kiasi kwa ekari moja? na niipandeje (spacing na matunzo)?
 
Back
Top Bottom