Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habar za mihangaiko ndugu zangu?? Nilikuwa naomba kujua bei za vyakula kama maharage, nyanya, mchele na viazi ulaya katika soko kuu la lushoto, mm nipo dar nataka nifanye biashara ya kutoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf naombeni mimi ni mgeni kwenye kilimo, nimehamasika na kuvutiwa na kilimo cha nyanya! Mwenye ujuzi na kilimo hiki naomba msaada wako tafadhali.. Namna ya upandaji, upigaji dawa, umwagiliaji...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Napenda kuuliza kuhusu mbegu bora za mahindi zinazostahili ukame! Nimeambiwa ni WEMA2019 Je kuna bora zaidi? Na zote naweza zipataje na gharama zake
1 Reactions
17 Replies
12K Views
Kwa wataamu wa kilimo naombeni msaada wenu niweze kusaidia jamii ya wakulima wa kijijini kwetu na maeneo jirani kwa watakaokubali ushauri ntakaowapa kutokana na majibu yenu! Kutokana na hali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Miche yangu inateswa na hili tatizo mara ninapoihamishia kwenye mifuko. Angalia picha na msaada tafadhali. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau? Nahitaj soko la vitunguu vyangu... Vitatoka mwanzoni mwa March nimeona sio mbaya nikaandaa soko kwani sio vingi sana. Shamba ni kama nusu heka kwa sasa... vingine bado vidogo. Shamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
popote tanzania ,,mwenye izo pumba anichek 0685733122
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Nina tafuta mtu yeyote mwenye mtaji-pesa ili tuunganishe nguvu katika ufugaji wa mifugo mbalimbali kibiashara. Mimi nina uzoefu, maarifa na utaalamu katika nyanja ya mifugo (nimesomea). Katika...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Kumekucha tena, Natamani niwe na kiwanda cha kutengeneza tambi kwa ajili chakula. Nimepata habari kuwa Unguja biashara hii ipo sana. Natamani kujua ukubwa wa mtambo/vifaa muhimu na gharama zake...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo: -Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika, -Fedha...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Kuku wangu ni katili sana hapendi mbuzi,mbwa wala kiumbe wengi sasa inafikia mahali analalia mayai yake anayaacha nakufata mbwa wanaobweka jirani na mabanda na kuwafukuza.kasha toboa macho mbwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Hodi humu ndani, naomba kwa wazoefu mnisaidie nataka kulima pilipili Mbuzi. Naomba ushauri wenye experience fulani juu ya zao hili mbegu kilimo na soko kwa ujumla. Asante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba kwa anaejua ukulima wa uyoga nahitaji msaada kwa hili natamani sana ukulima wa zao la uyoga napenda iwe ajira yangu kupitia uyoga sababu huku nakotoka vijana wamejikita zaidi kwa ufugaji...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa,yaani baadhi ya sehem kichwani wanakua kama wanamadonda,salsa sijui dawa gani nitumie
1 Reactions
0 Replies
766 Views
kama ionekanavyo picha. Naomba kujua huo ni ugonjwa gani? Umeharibu shamba zima. Nawaza kuyakata ili nilishe ng'ombe ili humo nipande mahindi mengine. Kitu gani nifanye ili ugonjwa usijirudie...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna shida ya chakula duniani na wataalamu wanajaribu kushinda hiyo vita kwa kutumia tekinolojia inayoaminika kuwa itafanya vyakula viwe vingi na uzalishaji wake uwe mwingi. Je Africa kama bara...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala. Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
habari wana JF. ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania. Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari wadau, Napenda kujua vitunguu maji vinakomaa kwa siku ngapi?
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom