sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Kwanza nianze kwa kuwapongeza watumishi wote Wa tume ya maendeleo ya Ushirika nchini,iliyopo chini ya wizara ya kilimo Na uvuvi,kwa jukum kubwa mnalo lifanya la kuhakikisha Ushirika una fufuka nchini.
Baada ya pongezi hizo niwambieni kuwa,fursa mlizozitoa kwa watoa Huduma mbalimbali wapo ambao wana waibia kwa kutoa Huduma ambazo hawazijaripia hapo kwenu mfano mfano kampuni mliipa Huduma ya elimu yy anakusanya madeni. Fatilieni mtaliona ilo Na muwachukulie hatua za haraka