Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwanza nianze kwa kuwapongeza watumishi wote Wa tume ya maendeleo ya Ushirika nchini,iliyopo chini ya wizara ya kilimo Na uvuvi,kwa jukum kubwa mnalo lifanya la kuhakikisha Ushirika una fufuka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabody kijana wenu naleta mrejesho leo nimepata rasmi shamba maeneo fulani na sasa naanza kilimo cha matikiti pamoja na Vitunguu ndani ya shamba moja ila nitatenga naomba ushauri katika hili pia...
3 Reactions
32 Replies
9K Views
kufikia sasa kuna idadi kubwa sana ya watu wamejikita katika tasnia ya ufugaji wa samaki. kama mtu,mdau ama mtaalam unakaribishwa kwenye uzi huu uweze kuchangia,kutoa ushauri na kubadilishana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana-JF, Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara. Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani. Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na...
0 Reactions
31 Replies
18K Views
Habari zenu jamani ,naomba mwenye kuwa nayo CBA na Master plan ya zao la tikiti maji anisaidiee .nipate muongozo ktk hili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye kuhitaji shamba maeneo ya dakawa ninazo heka15 nauza kwa mwenye nia ya kunua tuwasiliane mojakwamoja 0719508800 na heka moja ni 1m haipungui hakuna dalali hapa unadili na mimi mojakwa moja
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ni ugonjwa gani,unasababishwa na nini,na unatibiwa kwa dawa gani?
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wukuu kwamtaalamu wa kilimo cha nyanya anisaidie njia zakufanya ili nyanya zangu zisipukutishe maua cos nimesha pata hasara malakibao kwaajili hiyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu amestaafu utumishi wa Umma. Anataka afanye investment katika kilimo au ufugaji. Ameniomba ushauri kumchagulia awekeze wapi? Kwa vile jukwaa hili ni la ushauri,naye siyo...
2 Reactions
53 Replies
50K Views
Wataalamu kwa kilimo humu jf naomba kujuzwa nitayarishe mbegu ya mahindi (pannar au pioneer) kiasi kwa ekari moja? na niipandeje (spacing na matunzo)?
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Heshima kwenu Wajasiriakilimo. Swala la Ujasirimali ni gumu sana, Ujsirimali sio swala la kitoto, unahitajika kujitoa mhanga ki sawa sawa.Wengi wamekuwa wanafanya hivyo na wengine imekuwa ni kazi...
9 Reactions
21 Replies
4K Views
Habarini za mchana jaman, nna mashamba yangu mawili eka 36 sema cjapata uwezo wa kuyalima bado kwa sababu ya kiuchumi, ni wapi nnaeza nkapata mkopo ili niyaendleze?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kuna mwenye kufahamu Tarehe kamili ya Kongamano la Kilimo litakalofanyika Machi 2017? Ada ya ushiriki na jinsi ya kushiriki? Niliona Prof. Nyange akiwa anafanya mahojiano asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama wadau. Naomba ushauri kuhusiana na kilimo. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo mwisho wa mwaka huu, ningependa kulima mojawapo ya mazao haya, mahindi, mpunga au maharage. Nomba kujuzwa eneo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka huu kama ilivyo miaka kati ya mwaka 2008-2016 kulikuwa na utoaji wa pembejeo za kilimo yenye ruzuku kwa wakulima. Wakulima walengwa huchangia kiasi cha fedha na kiasi kingine kuchangiwa na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nataka mikaratusi iliyonyooka yenye Diameter 17-30 cm Nataka nyingi kadri unavoweza Kuanzia miti 500- 0682426975 0744769774
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Baada ya kufika shambani nimehuzunika sana, mpunga niliopandikiza umenyauka. Ukame huu twafa!
3 Reactions
41 Replies
5K Views
asalaam wakuu, naomba mwenye muongozo kuhusu ufugaji wa Kuku wa kisasa (broilers) anipatie. samahanini kwa usumbufu nahitaji sana mchanganuo huo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Binafsi naona kama utengenezaji wa viberiti ni fursa kubwa sana kwakuwa soko lake lipo si la kutafuta kabisa. Kwa wenye uelewa wa utengenezaji tunaomba tubadilishane mawazo hapa katika...
1 Reactions
24 Replies
14K Views
Habari za mchana, Poleni na majukumu. Kama maada inayojieleza hapo juu, nilitaka nifahamu kuhusu kilimo cha alizeti wilayani Iramba. Nimepitia maada mbalimbali humu ndani na nimeona kuna mwana JF...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom