Ufugaji batamzinga

kwalele

Member
Mar 18, 2013
36
15
Habari zenu wana JF
Nimejaribu kufuatulia kwa ukaribu ufugaji wa bata mzinga na nikafanikiwa kupata maelekezo namna ya kuwafuga na kuandaa mazingira ya kuwafuguia yaani ujenzi bora wa mabanda,kwa sasa nishaandaa mabanda ila sijajua wapi naweza kuwapata batamzinga wa kuanzia anayejua napoweza kuwapata wa kununua kwa kufuga tujulishane
 
Kama uko kanda ya ziwa tuwasiliane
 
Back
Top Bottom