bepari la kichaga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 528
- 516
Wadau poleni na shughuli za kutwa nzima ya leo,
Ni hivi kuku wangu tetea yapata wiki ya pili sasa linafunga jicho moja mda wote labda ashtuke ndo atafungua na kisha kulifunga tena, nashindwa kujua ni ugonjwa gani huu na tiba yake ni ipi ili nimtibie hana raha kabisa.