Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
Ndugu wana Jf,
Wataalamu wa aridhi na udongo naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza kutambua aridhi hii ina madini au haina
Au pia ni chuo gani ambacho wanafundisha mitaala ya uchunguzi wa madini katika udongo
Nawasilisha......
***********************************************************************