Wafugaji na wakulima mnayo maeneo ya shughuli zenu?

khalifa awe

Senior Member
Sep 21, 2016
147
31
Wana jf tujuzane maeneo ya kilimo na ufugaji ili watu wasibughudhiane kwenye shughuli zao je, kila mmoja ana eneo maalum kwa ajili ya kazi zake? Karibuni kwa ajili ya kuchangia hoja na kutangaza mashamba ya kilimo au ufugaji ni vyema ukaweka full details.
 
Mfano nimeambiwa mbeya inafaa kilimo cha mpunga na ufugaji wa sungura
 
Tanzania haiko kama tunavyo fikiria ila watawala wanaifanya iwe wanavyo fikiria mpaka sasa maeneo hajatengwa kwa ajili ya kazi Fulani hii inatokana na watawala kushindwa kupokea maoni ya watawaliwa ndo maana unaona wakulima wanalima maeneo ya wafugaji mwekezaji anawekeza kwenye makazi ya wananchi mfugaji anafugia kwenye hifadhi ya wanyama hii inachangiwa na watawala kushindwa kushirikiana na wananchi
 
Back
Top Bottom