Mbunge diaspora
Member
- Feb 4, 2017
- 23
- 23
Kwa kweli nimehuzunishwa na kuona tukio Kama hili.maswali mengi nimejiuliza 1.mtu ana ngombe 250 .1 mwenye ngombe huyu alijaribu kuuza hawa ngombe na hakupata soko? 2.mfugaji huyu hakuona Kama hali ya ukame unaanza na kujaribu jinsi gani ataukabili ukame huo.ingawa halinihusu Lkn fikiri hawa ngombe 100 angewauza wote kwa 100m. Je asingeweza kujenga stoo ya majani ya Mwaka mzima?