vicent moshi
Member
- Apr 6, 2015
- 92
- 55
Habari wandugu zangu naomba kujua namna ya kuanza ufugaji wa kuju wa mayai........aina gani ya kuku ni bora zaidi? ........kwa kuku 500 ninahitaji banda la ukubwa gani? Chakula kiasi gani nitahitaji kila siku kwa wastani? ........Nitegemee faida kiasi gani na kwa kipindi gani? Naomba na ushauri wa ziada kwa wazoefu pliz......