Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 955
- 866
Kama kuna watu waliojilipua kwenye zao hili naomba kupata mrejesho maana nasikia watu wanafungasha virago upande wa nachingwea kuna wadudu wanaitwa vibaruti hawasikii dawa wanatafuna majani ile mbaya. Tumejaribu Ninja ... Duduall zote zimeogelea. mweny ujuzi wa hii kitu aokoe jahazi hali ni mbaya. Jingine ni soko maana pande hizi mwaka huu wakulima walitishika na ukame hivyo hawakulima wengi je soko la mwaka huu likoje? Nawasilisha