Wakuu habari zenu?
Naomba ushauri kwa walio na utaalamu wa kujua kuku (broilers) wangapi watatosha kufugwa kwenye banda lenye vipimo hapo chini.
Mita 13.2 mapana
Mita 3.2 marefu
Asanteni.
Habari za muda huu wakuu.
katika kilimo taarifa nyingi huwa ni muhimu ili kujua kama eneo fulani linafaa kwa kilimo kipi.mojawapo ni kiasi cha mvua.
mfano,mahindi hustawi kwa mvua milimita 600-...
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli
~*Tajirika na Tikiti*~
Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....
*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*
Kwa wastani heka moja ya tikiti...
Nilikuwa naulizia mazao yafuatayo yana patikana kwa wingi wapi na yanapatikana wakati gani?
Tafadhali taja mazao na mkoa unayojua inapatikana. Mfano. Maharage- dar es salaam[emoji4]
1...
Hi guys,for first time I want to share this stuff with you,katika jf,
Hii kitu nimekutana nacho kwa wakulima wengi sana in rukwa,mbeya and singida,wakulima hutumia nguvu sana in purchasing...
Wengi wanashindwa kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa kukosa mtaji wa kuchimba kisima na kununua pampu, ukiitumia akili yako vizuri hili si tatizo kabisa. Akili ni mali, angalia jinsi ya kuanza...
Biashara iliyokuwa ikifanywa na Wawekezaji ya kununua vifaranga na Mayai kutoka nchi za nje imepigwa marufuku, baada ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, kusema kuwa...
Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe.
Sent from my BlackBerry 9320 using...
Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi...
siku za karibuni nilikuwa natafuta mbolea ya kuweka kwenye migomba. nikaambiwa mbolea ya kuku ni nzuri sana, nikaenda kuitafuta. nikakuta inabei kubwa sana. gunia la debe kumi wanauza 4,000...
Naomba nianze kwa kumshuru mungu kwa kunipa uzima na kunifanya nizaliwe Tanzania Tanzania tunazo fursa nyingi sana Leo ntazungumzia fursa zilizop kwenye secta ya kilimo watu wamekuwa wakilalamika...
Wadau,
Nimeamua kua Mkulima rasmi. Sina uhakika na kile nachotaka kukifanya kwani sina Uzoefu wowote, wala sijawahi hata kumiliki bustani, sembuse kumiliki japo Gunia moja la zao lolote duniani...
Salaam wana Jf.
Natambua mu wazima na mvua hizi wengine mpo mashambani mkiandaa mashamba.
Nimekuwa nikiona mijadala mingi hum ikijikita Katika Faida na mafaninikio ya kilimo. Lakini naomba tupeane...
Mimi ni Kijana mjasiliamali natamani nianzishe kilimo cha alizeti alafu mwisho ninunue mashine ya kukamua hayo mafuta lakini changamoto yangu sijui hiyo mashine inapatikana wapi, pia sijui...
Kilimo cha umwagiliaji na changamoto zake
Wote tunajua kwa sasa tunakabiliwa na upungufu mvua na kutotabirika kwa mvua! tumekua tunategemea kilimo cha mvua, na kwa hali ilivyo tukiendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.