Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na...
Habari zenu waungwana
Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake.
ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana.
Hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili...
Habari zenu wana JF.
Naombeni msaada kutoka kwenu...nahitaji kufahamu kama arusha kuna market nzuri ya mapapai na pia mikoa mingine tanzania....nipo kwenye research stage kwa sasa
Asanteni na...
Hello Gentlemen and ladies, Naomba msaada please., Nina kuku ina ya chotara wa Malawi na wa Israel wako 30 na wameshaanza kutaga ni week ya pili sasa .Na chakula cha layers nanunua mfuko elfu 50...
Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile...
Wana JF, habari ni za siku nyingi. Mradi wetu Mifugo na KILIMO sasa unataka kujipanua hadi kufikia kilimomazingira. Tutajikita katika kilimo mazao, misitu, Nyuki, samaki na usindikaji wa mazao...
wadau ninatengeneza mkaa wa kisasa briquette kama sehemu ya ajira yangu tangu nimalize masomo. sasa changamoto kubwa ni kwenye masoko, hivyo naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia mahali...
Wakuu habari!,Mimi nataka nianze ujasiliamali wa ufugaji wa kuku jamii ya chotara nilichotaka kufahamu katika hawa chotara aina mbili kati ya kuroiler na wale wa Malawi ipi mbegu bora katika...
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uthibitisho wa vyakula vya mifugo wanavyopewa wanyama yetu siku zote Bila Majibu. Ni Nani wanahusika Tfda au TBS.. mbona havijawahi kushikwa ambavyo ni substandard au...
Habari za kutwa ndugu zangu..
Mimi nikijana niliemaliza chuo na sina ajira, nmejichanga kwa muda sasa, nimepata million 3, sasa nataka kuingia kwenye kilimo ninaishi mkoa wa Mbeya.
Nmefanya...
Nimeamua kujikita kwenye ujasiriamali wa kilimo, hivi sasa nimeshalima mpunga kwa mara ya kwanza. Katika kujiandaa vzuri na kilimo nina lengo la kununua powertiller, Hivyo ninaomba msaada wa...
Tuamke tukaanze Kilimo wakuu hali ni mbaya siyo lazima wote mkaajiriwa. Mimi Roho huwa inaniuma Mtu anavyokuja na Kuandika thread nataka Sehemu ya Kujitolea bila Malipo hebu Imagine Sehemu hiyo...
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume ninaetaka kujikwamua kwenye janga la umaskini kupitia vimitaji vidogo lakini biashara ninayo ona itanifaa ni kuchukua matikiti bush kuyaleta town.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.