Msaada jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku .

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Hello Gentlemen and ladies, Naomba msaada please., Nina kuku ina ya chotara wa Malawi na wa Israel wako 30 na wameshaanza kutaga ni week ya pili sasa .Na chakula cha layers nanunua mfuko elfu 50 wa kg 50 na wanakula ndani ya week mbili. Naombeni mwenye formula ya kutengeneza mwenyewe nyumbani msaada please.
 
Back
Top Bottom