Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Baada ya kuona fursa hii kupitia jukwaa hili nimeamua kuifanyia kazi. Mwaka huu mwezi wa 8 nikasafiri kuja Iringa mji wa Mafinga nikafanya research na kugundua kweli kilimo hiki kinafanyika...
6 Reactions
12 Replies
12K Views
Habari gani wakuu...... Kwanza poleni kwa majukumu...Mimi ni mwanachuo Dodoma lakini nina wazo la kilimo pia.. Ninawazo la kukodi shamba mpanda kwa ajili ya kilimo cha Mpunga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Naomba ushauri kwa walio na utaalamu wa kujua kuku (broilers) wangapi watatosha kufugwa kwenye banda lenye vipimo hapo chini. Mita 13.2 mapana Mita 3.2 marefu Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari za muda huu wakuu. katika kilimo taarifa nyingi huwa ni muhimu ili kujua kama eneo fulani linafaa kwa kilimo kipi.mojawapo ni kiasi cha mvua. mfano,mahindi hustawi kwa mvua milimita 600-...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli ~*Tajirika na Tikiti*~ Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli..... *TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI* Kwa wastani heka moja ya tikiti...
13 Reactions
147 Replies
28K Views
Nilikuwa naulizia mazao yafuatayo yana patikana kwa wingi wapi na yanapatikana wakati gani? Tafadhali taja mazao na mkoa unayojua inapatikana. Mfano. Maharage- dar es salaam[emoji4] 1...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi guys,for first time I want to share this stuff with you,katika jf, Hii kitu nimekutana nacho kwa wakulima wengi sana in rukwa,mbeya and singida,wakulima hutumia nguvu sana in purchasing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Where goats calve down to twins, triplets
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Wengi wanashindwa kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa kukosa mtaji wa kuchimba kisima na kununua pampu, ukiitumia akili yako vizuri hili si tatizo kabisa. Akili ni mali, angalia jinsi ya kuanza...
4 Reactions
24 Replies
18K Views
Biashara iliyokuwa ikifanywa na Wawekezaji ya kununua vifaranga na Mayai kutoka nchi za nje imepigwa marufuku, baada ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, kusema kuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hv ni miez gani bamia inakuwa na bei nzuri sokoni
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina shamba, vifaa, wafanyakazi na Experience. Natafta partiner wa kushirikiana naye kilimo cha Tikiti. 50/50 contribution. Shamba lipo Mwanza Malimbe nyegezi. Kwa ambaye yupo serious anitafte kwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe. Sent from my BlackBerry 9320 using...
1 Reactions
72 Replies
39K Views
Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
siku za karibuni nilikuwa natafuta mbolea ya kuweka kwenye migomba. nikaambiwa mbolea ya kuku ni nzuri sana, nikaenda kuitafuta. nikakuta inabei kubwa sana. gunia la debe kumi wanauza 4,000...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba nianze kwa kumshuru mungu kwa kunipa uzima na kunifanya nizaliwe Tanzania Tanzania tunazo fursa nyingi sana Leo ntazungumzia fursa zilizop kwenye secta ya kilimo watu wamekuwa wakilalamika...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau, Nimeamua kua Mkulima rasmi. Sina uhakika na kile nachotaka kukifanya kwani sina Uzoefu wowote, wala sijawahi hata kumiliki bustani, sembuse kumiliki japo Gunia moja la zao lolote duniani...
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari za majukumu wakuu! Naomba kujua popoo ni nini?(kwa anayelijua zao hili) Je zinalimwa wapi? Yaani mkoa gani? Asanteni kwa msaada!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wana Jf. Natambua mu wazima na mvua hizi wengine mpo mashambani mkiandaa mashamba. Nimekuwa nikiona mijadala mingi hum ikijikita Katika Faida na mafaninikio ya kilimo. Lakini naomba tupeane...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom