Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

HIVI NI MAZAO GANI NAWEZA KUANZA NAYO KWA KILMO MWEZI WA NANE
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari watanzania wenzangu. naomba mwenyeuzowefu katika uzalishaji na biashara ya mhogo anisaidie, natamani kama utaweka cost analysis kuanzia shambani ikiwezekana hadi usindikaji na masoko ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini... jamani mwenye uelewa kuhusu bei ya chini zaidi ya gunia la mahindi au/na mpunga kwa mkoa wowote naomba anijulishe,ninataka fanya uhifadhi wa tani kadhaa kwa sasa,hivyo nikinunua mahala...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari watanzania wenzangu. naomba mwenyeuzowefu katika uzalishaji na biashara ya mhogo anisaidie, natamani kama utaweka cost analysis kuanzia shambani ikiwezekana hadi usindikaji na masoko ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Za kisasa zenye kugeuza mayai, temperature control, hazili umeme kabisa 60 watt, 42 Eggs kwa 400,000 96 eggs kwa 475,000 Ni pm kwa info
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Wanajamvi kwema? Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani. Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna mtu ameshafanya forex business kutumua Toro atupe uzoefu wake? Mi nimejaribu trial mode yake naona kuna uwezekano wa kupata vidola vichache ukiwa makini. Swali ni kwamba ukishaweka hela yako...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
(A) JINSI YA KUTENGENEZA MCHWA KWA YA KUPATA PROTINI YA ZIADA fuata hatua zifuatazo 1:Changanya kinyesi kikavu cha ngo'mbe na majni makavu / Mabua ya mahindi/Maranda ya mbao 2:Mwagia maji...
6 Reactions
11 Replies
9K Views
PLAN: Fuga kuku watano kienyeji upate 200 kwa miezi sita MUUNGWANA BLOG / 19 hours ago  Hebu anza na kuku Watano (5) tu Majike wenye Rika/Umri mmoja (au wanaokaribiana). Watunze vizuri kwa...
11 Reactions
64 Replies
21K Views
Habari zenu wanajukwaa Ningependa kuuliza bei ya kitunguu katika sehemu mbali mbali,maana natarajia kutoa changu hivi karibuni Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasisi sasa tuikatae kwani inasababisha Kansa sasa Waziri husika akanyie kazi hili. Below are 15 articles of the fight in Africa, Europe, Japan and Russia banning Monsanto Genetically Modified...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wanajamvi nahitaji Vifaranga Wa kuku Wa mayai wakisasa, Kwa mawasiliano zaidi +255768181757
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KWA TUNAO ZALISHA BIDHAA ZENYE MTAZAMO TOFAUTI KWA WALAJI JE TUNAFANYAJE? Ni ukweli ulio wazi kabisa kuna basdhi ya product either Watanzania hatuna utamaduni wa kula au kuna upotoshaji. 1...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
wote wa jukwaa la Ujasiriamali, nichukue fursa hii kuwatakia kila la heri katika sikukuu ya Mwaka mpya na sikuu ya Krismasi. Katika safari ya Ujasirimali kuna Changamoto nyingi sana tena mno, na...
21 Reactions
241 Replies
21K Views
Habarini wakuu! Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
3 Reactions
17 Replies
9K Views
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback' 1. Juzi...
42 Reactions
110 Replies
21K Views
Wajasiriamali wenzangu,Assalaam Aleykum Ningeomba kujua Sikukuu ya Nane Nane kitaifa itafanyika wapi? Narajia kwenda kwa malengo yafuatayo:- A)Kuona na kujifunza mbinu za kilimo na ufugaji kutoka...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wajasiriamali. Kifungu fish farm iliyopo Kigoma inawatangazieni kuwa inawauza vifaranga wa sato (oreochromis tanganyikae) kwa tsh. 300 kwa kifaranga. Tutawauzia vifaranga wakubwa (urefu...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom