The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,007
Naomba kuuliza kuna madhara gani ya kuwalaza kuku na bata kwenye banda moja???.
Wanashare banda tu kulala vp kuna madhara ganBata wana uwezo mkubwa wa kuvumilia magonjwa kuliko kuku. Hivyo ni vyema kuwatenganisha
Asante sana mkuu ushauri mzuriMkuu Kama una nafasi ndogo unaweza tu kuwaweka pamoja cha muhimu weka vichanja ili kuku walale juu wanapenda sana kulala juu na bata walale chini Ila kama unafuga bata bukini inabidi utenganishe maana ni wakali sana.